Umechukua lini subiri kidogo wataongeza RIBA hiyo bila kukutaarifu ndo utachoka kabisa. kuna jamaa aliambiwa RIBA 17% kujakuhesabu jumla atakachorejesha kakuta ni 51% we acha. Hao kwanza wazuri
Salaam Wadau,
Nilichukua mkopo kutoka Benki moja hapa nchini, niliambiwakuwa riba ni asilimia 21 (21%) ya mkopo nitakaochukua na nitarejesha kwa mudawa miezi 48.. Baada ya kupiga hesabu zangu nikakubaliana nao kisha nikachukuamkopo huo. Ila baada ya kuuchukua huo mkopo nikapewa schedule ya marejesho chakushangaza ile schedule inaonesha riba ni karibu asilimia 43 (43%).
Sasa nauliza ile riba huwa inapanda kila mwaka au inabakikuwa constant mpaka muda wa mkopo uishe?
Ahsanteni
Soma walicho andika wadau hapo juu mbona binaeleweka? inawezekana kulipa 43 percent riba ! Hata kiuzoefu onatuonyesha hivyo!Hakuna RIBA ya 43% kwa market rate ya TAnzania kwa bank zote (I'm sure for this)
Hii itakuwa typing error
Salaam Wadau,
Nilichukua mkopo kutoka Benki moja hapa nchini, niliambiwakuwa riba ni asilimia 21 (21%) ya mkopo nitakaochukua na nitarejesha kwa mudawa miezi 48.. Baada ya kupiga hesabu zangu nikakubaliana nao kisha nikachukuamkopo huo. Ila baada ya kuuchukua huo mkopo nikapewa schedule ya marejesho chakushangaza ile schedule inaonesha riba ni karibu asilimia 43 (43%).
Sasa nauliza ile riba huwa inapanda kila mwaka au inabakikuwa constant mpaka muda wa mkopo uishe?
Ahsanteni
Mkuu Emecka cha kuficha hapa ni nini
wakati wewe ndiyo mwenye shida
taja benki watu wakusaidie lakini
kimya chako kitakuumbua.
Zaidi hii habari itakuwa ya kutunga tu.
Salaam Wadau,
Nilichukua mkopo kutoka Benki moja hapa nchini, niliambiwakuwa riba ni asilimia 21 (21%) ya mkopo nitakaochukua na nitarejesha kwa mudawa miezi 48.. Baada ya kupiga hesabu zangu nikakubaliana nao kisha nikachukuamkopo huo. Ila baada ya kuuchukua huo mkopo nikapewa schedule ya marejesho chakushangaza ile schedule inaonesha riba ni karibu asilimia 43 (43%).
Sasa nauliza ile riba huwa inapanda kila mwaka au inabakikuwa constant mpaka muda wa mkopo uishe?
Ahsanteni
Dada biashara matangazo, so hiyo riba ilikuwa tangazo ili uingie. But I want to tell you kwamba, hesabu za riba ziko a bit complicated, kwa hizi micro-finance kwa sasa ukipata inayoweza kukutoza riba ndogo kwa mwaka ni 27% kwa mwaka wa kwanza. Theni riba inapungua kwa miaka inayofuata, inategemea na system bank wanayotumia kama ni 'decreasing rate system' ama ni constant rate system'. Sasa wewe umepewa miezi 48, it means 4 years, so hiyo riba waliyokupa ni fair kabisa, kwani kuna part of the money you took itakaa kwako mwaka mmoja na kuna part itakaa kwako miaka minne. That means, marejesho kuni na mbili ya kwanza yatapata annual interest ya mwaka mmoja, na wakati marejesho utakayorejesha mpaka the end of second year yatakatwa interest rate ya miaka miwili (kama ni 27% annual rate kwa mwaka basi hiyo ita'double'), na kadharika. To make things simple ndio maana wanatumia the two system formulae I have told you before ili kustandardize baadhi ya mambo, otherwise utajikuta unalipa 100% interest rate. Ndo maana watu wanaochukua mikopo ya muda mrefu e.g miaka 15 interest inashuka mpaka 8% per annum ili kuweka unafuu wa huo mkopo
Hiyo 21% ni interest kwa mwaka na kwa kuwa utakaa na hela zao kwa miaka 4 hiyo interest ingekuwa 21%x4= 84%, lakini kwa vile utakuwa unalipa kila mwaka hiyo rate ya 21% itakuwa inapungua kila mwaka kutegemea na ulivyolipa lakini commulative itakuwa inaongezeka at a decreasing rate (yaani inaongezeka kwa kupungua) ndiyo maana after 4 years hautakuwa umelipa 84% lakini uki calculate utakuta interest rate ni zaidi ya mara mbili ya ile waliokuandikia kwenye makaratasi, hiyo ndiyo inaitwa effective interest rate. Ukitaka kujua effective interest rate unayolipa wewe chukua tu total interest amount gawanya kwa loan amount, lakini kumbuka the higher the repayment period, the higher the effective interest rate and hence higher interest amount. Mfano kama mkopo wako in wa mwaka mmoja utalipa interest hiyo hiyo waliyokuandikia kwenye makaratasi yao, hali inakuwa mbaya pale unapotaka kulipa kwa muda mrefu ambayo ndiyo benki wanapenda kwa kuwa watapata interest kubwa.
Ushauri: Jitahidi kuchukua short term loan kuliko long term loan.
Una bahati kutaja hii benki na bandiko lako likaendelea kuwepo. Mimi mara zote linaondelewa immediately.Standard Chartered?!
Kukopa ktk ma benki ya tanzania labda uwe unafanya biashara ya bangi,riba zake kubwa sana!maneno ya nyerere hayo