Emecka
Member
- Jul 17, 2012
- 75
- 27
Salaam Wadau,
Nilichukua mkopo kutoka Benki moja hapa nchini, niliambiwakuwa riba ni asilimia 21 (21%) ya mkopo nitakaochukua na nitarejesha kwa mudawa miezi 48. Baada ya kupiga hesabu zangu nikakubaliana nao kisha nikachukua mkopo huo. Ila baada ya kuuchukua huo mkopo nikapewa schedule ya marejesho cha kushangaza ile schedule inaonesha riba ni karibu asilimia 43 (43%).
Sasa nauliza ile riba huwa inapanda kila mwaka au inabakikuwa constant mpaka muda wa mkopo uishe?
Ahsanteni