Mkopo kutolewa tu kwa wale waliomaliza form six au ftc/diploma miaka isiyozidi 2

Mkopo kutolewa tu kwa wale waliomaliza form six au ftc/diploma miaka isiyozidi 2

Ndigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
210
Reaction score
59
Kilichonishangaza ni kwamba tcu wakati wanatoa tangazo la kuomba mkopo hawakutoa hayo masharti ya kuwa watakaopata mkopo ni wale waliomali form six au ftc/diploma miaka 2 kuja juu, na sio waliomaliza miaka 3 kurudi nyuma. Wangetoa hayo masharti tungejua kuwa hatustahili kupata mkopo. Hapa nipo kwenye mtanziko au niwafwate ofisini, ushauri tafadhali.
 
ni heri utumie muda huu kufikiri unasomaje bila bodi ya mkopo kwani kuendelea kuwafuatilia ni kupoteza muda na unajua muda wa kujisajili ndio huu, ukikwama mwaka huu jiandae uanze mwaka ujao bila kutegemea bodi.
 
mi mbona nimemaliza mwaka jana tu afu wameninyima na pia niliomba priority course..wanapeana wenyewe tu hao..
 
Back
Top Bottom