Ndigwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 210
- 59
Kilichonishangaza ni kwamba tcu wakati wanatoa tangazo la kuomba mkopo hawakutoa hayo masharti ya kuwa watakaopata mkopo ni wale waliomali form six au ftc/diploma miaka 2 kuja juu, na sio waliomaliza miaka 3 kurudi nyuma. Wangetoa hayo masharti tungejua kuwa hatustahili kupata mkopo. Hapa nipo kwenye mtanziko au niwafwate ofisini, ushauri tafadhali.