Mkopo kwa Continuos Students huwa unabadilika?

Digging deeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
787
Reaction score
512
Nashindwa kuelewa hivi wadau JF ni saidieni hivi kwa continous student mkopo huwa unabadilika maana nimejaribu kuingia kwenye account yangu nakuta mambo tofauti na awali pesa walizoniwekea miaka yote nitofauti kabisa yaani wamepunguza kabisa yapo masifuri je shida hii continous student imewatokea kama mimi.
 
Ni vyuo vyote wamefanya ivyo bila hata kutoa maelezo
 
Walisema wame ongeza pesa bajeti ni kubwa kuliko miaka yote lskini kwa yanayo tokea ni huzuni ilkua ni sawa na bajeti hewa ya kisiasa hamna kitu kabsa
 
Siasa sio nzuri asa kwenye maswala kama aya ya kielimu waweke mbali wanaumiza watu
 
Walisema wame ongeza pesa bajeti ni kubwa kuliko miaka yote lskini kwa yanayo tokea ni huzuni ilkua ni sawa na bajeti hewa ya kisiasa hamna kitu kabsa
Siasa ndo inayotuangusha sana kwenye mambo mengi ya msingi
 
Mambo ni ovyo ani, Siasa imechukua nafasi yaani.
 
Waulize wanafunzi wenzio, sie hatusomi.
 
bora nyie mmepunguziwa...kuna wengine walipata mkopo mwaka jana...lkn mpk xx allocation ya mwaka huu haisomi
 
Continous?, continuos? Halafu uko udsm? Hiki chuo muda siyo mrefu kitakua chuo cha kata
 
Allocation za continous huwa zinawekwa chuo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…