Mkopo kwa Continuos Students huwa unabadilika?

Mkopo kwa Continuos Students huwa unabadilika?

yap inawezekana mimi niliingia na 80% nilipofika mwaka wa nne nikashangaa nimepewa 100% mpaka namliza mwaka wa 5
 
Wasilete siasa kwenye elimu? Wewe ni raia wa nchi hii? Komaeni, muwe wavumilivu, ccm ikishiba ndio mpate mnachostahili. Ila kwa sasa endeleeni kushangilia chama dume wakiprocess mikopo yenu.
Mkuu wengine ayo maswali ya mavyema atuna time nayo ko usituunganishe afu inakuje wanachange mkopo wa awali mambo ya hovyo sana
 
Mimi najua nimepunguziwa kama laki 2 hivi tangu mwanzo waliponipa mkopo waliandika. Sema ile screenshot nilipoteza na sijaona allocation hadi sasa. Kusaini kwenyewe bado ngoja huu upepo upite
 
Mimi najua nimepunguziwa kama laki 2 hivi tangu mwanzo waliponipa mkopo waliandika. Sema ile screenshot nilipoteza na sijaona allocation hadi sasa. Kusaini kwenyewe bado ngoja huu upepo upite
Aisee elimu yetu hii pole mkuu kwa hiyo changamoto
 
Me mwenyew nasubiri allocation hapa maana wameshatoa kwa continuous lakn jina langu halipo na ukiingia kuangalia account haisomi pia, yaan shda tupu baadhi allocation imesoma lakn pesa zimepunguzwa...
bora nyie mmepunguziwa...kuna wengine walipata mkopo mwaka jana...lkn mpk xx allocation ya mwaka huu haisomi
 
Wanadai GPA Ina determine amount ya pesa kwa mwaka mpya wa masomo either urudishiwe mkopo 100%, au upunguziwe au uongezewe Kama hukupata 100%
 
Back
Top Bottom