Mkopo kwa dhamana ya nyumba unahitajika

Natumahi mko sawa!

Niende moja kwa moja kwenye mada!

Kuna mama mmoja anahitaji mkopo wa kuendeshea biashara yake maana imekwama na pia kuendesha maisha kiujumla.

Kiasi kinachohitajikaa ni shilingi Milioni 12 ( 12,000,000 )

Dhamana ni nyumba , picha zake nimeziambatanisha hapo chini. Kipindi cha kurejesha Mkopo ni maelewano

Na pia nyumba inapatikana mkoani Kagera.

Nyumba ni nzuri iko mahali pazuri kama inavoonekana kwenye picha.

Hajaenda kuomba bank kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake!!

Nimeombwa nimtafutie mwenye uwezo wa kupata kiasi hicho cha Mkopo.

Mimi napatikana Dar es Salaam. Akipatikana Mtu wa kutoa mkopo huo nitatoa namba za mawasiliano ili muongee kiurefu zaidi.

 
Natumahi mko wazima!

Niende moja kwa moja kwenye Mada.

Kuna mama mmoja anahitaji Mkopo kwa ajili ya kuendeshea biashara yake pamoja na maisha kiujumla.

Mkopo unaohitajika ni shilingi millioni 12 (12,000,000 ).

Mda na mahitaji mengine ya kurejesha mkopo huo mtaongea wenyewe baada ya kuwa nimeshawaunganisha kwa simu!!

Anaweka dhamana ya nyumba yake.

Nyumba iko vizuri na iko maeneo mazuri japokuwa iko mkoani Kagera.
Nimeambatanisha na picha za nyumba hiyo.

Kama atapatikana mtu mwenye uwezo waa kutoa mkopo huo nitakupatia namba za huyo mama uongee nae kiurefu zaidi!!

Hajaenda kukopa bank kutokana name sababu ambazo zipo nje ya uwezo wake

Mimi napatikana Dar es Salaam ila mwenye nyumba anapatikana Kagera.


 
Hamgembe hapo tupe namb ya huyo mama.
 
Jaman anahitajika mwenye uwezo huo
 
mkopo wa haraka haraka kama huo unakuwa na riba asilimia 20 kwa mwezi kama yuko tayari
 
Ukipata mkopo humu tulete marejesho

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…