Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapata mkuu, Mungu mkubwa
Hamgembe hapo tupe namb ya huyo mama.Natumahi mko wazima!
Niende moja kwa moja kwenye Mada.
Kuna mama mmoja anahitaji Mkopo kwa ajili ya kuendeshea biashara yake pamoja na maisha kiujumla.
Mkopo unaohitajika ni shilingi millioni 12 (12,000,000 ).
Mda na mahitaji mengine ya kurejesha mkopo huo mtaongea wenyewe baada ya kuwa nimeshawaunganisha kwa simu!!
Anaweka dhamana ya nyumba yake.
Nyumba iko vizuri na iko maeneo mazuri japokuwa iko mkoani Kagera.
Nimeambatanisha na picha za nyumba hiyo.
Kama atapatikana mtu mwenye uwezo waa kutoa mkopo huo nitakupatia namba za huyo mama uongee nae kiurefu zaidi!!
Hajaenda kukopa bank kutokana name sababu ambazo zipo nje ya uwezo wake
Mimi napatikana Dar es Salaam ila mwenye nyumba anapatikana Kagera.
View attachment 683966View attachment 683967View attachment 683968
Mkuu nakutumia PMHamgembe hapo tupe namb ya huyo mama.
hiyo nyumba iko hamgembe kweli?Jaman anahitajika mwenye uwezo huo
Mkuu naku PMmkopo wa haraka haraka kama huo unakuwa na riba asilimia 20 kwa mwezi kama yuko tayari
Iko karagwe Omurushakahiyo nyumba iko hamgembe kweli?
Sawa mkuuUkipata mkopo humu tulete marejesho
Ova
Nenda benki utapata kwa haraka