Mkopo kwa vyuo vya kati

Mkopo kwa vyuo vya kati

Muddy105

New Member
Joined
Jul 16, 2023
Posts
3
Reaction score
2
Kulinga na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 vyuo vya kati watapatiwa mikopo. Je, unawezaje kuapply au kupata mkopo kwa vyuo vyakati?
 
Hii Mpya, wanazungumzaga tu hvyo ila Hakuna ukweli wwte lbd round hii watoe mkopo huo
 
Sahau kuhusu Hilo mkopo kwa undergraduate tu usiwasikilize wanasiasa waongo hyo issues aijaanza kuongelewa mwaka huu tafuta pesa ukajilipie ada kama unataka kusoma
 
Back
Top Bottom