Mkopo kwa wanafunzi wa arts: suluhisho kwa waliofaulu sana

Mkopo kwa wanafunzi wa arts: suluhisho kwa waliofaulu sana

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Habari wanajukwaa nadhani muwazima , kwa uzoefu nilionao hapa chuo wanafunzi wasiokua na boom huwa wanaishi maisha magumu Sana hiyo ni kawaida kwa mtanzania halisi ,kama umesoma arts,Kama umefaulu vizuri mdogo wangu, usiharibu ndoto zako kwa kusomea ualimu (Kama haikua ndoto yako na sio kwamba nina dharau) ,,cha kufanya ni ivi chagua course za chuo cha usafirishaji (NIT) kama transport and logstic management uhakika wa boom upo....chakusisitiza tu ni usisikilize ushauri wa watu sijui chuo ni kitaasisi kidogo no nenda kafanye yako maana huku kwenye vyuo vikubwa utaishia kupiga shuttle pori asubuhi na jioni kama dozi,pasi ndefu mchana na RB ya kwa mama kifusi kila siku na simu kwakila ndugu ukiomba wakudhibitishie M-money......nadhani mnanielewa! Haya chaguzi njema mda wakuaply utakapowadia!

(NB: nimesisitiza waliofaulu vizuri sana kwasababu ushindani utakua mkubwa sana kwenye hizi course)
 
Back
Top Bottom