habari zenu wana jf naomba kuuliza kwa wanaosoma diploma ya ualimu katika vyuo vya serikali kuna mkopo? sababu nilishindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu kwasababu ya kukosa mkopo sasa nataka niombe ualimu.
Mawazo yako ya kusoma Diploma ya Ualimu ni mazuri . Lakini kama una alama za kukufanya u-apply vyuo vikuu ni bora ukafanya hivyo. Huu ni ushauri wabureee ambao huitaji kulipa pesa.
Kwa sasa vyuo vya Ualimu vinatoa Diploma ya Ualimu kwa Muda wa miaka 3....hii ni kwa level zote...iwe Ualimu wa kwa ajili ya kufundisha shule za msingi au kufundisha Sekondari.
Sasa kusomea Diploma kwa muda wa miaka 3 ni bora zaidi ukaomba fani hiyo hiyo ya Ualimu katika vyuo vikuu ili baada ya miaka hiyo mitatu uwe na Bachelor Degreee instead of Diploma.
Nadhani pia ukiomba Bachelor degree kwa vyuo vikuu...tena katika fani ya ualimu hata mkopo pia unaweza ukabahatika kupata.
Otherwise to study diploma in Education for 3 years...mhmhm ni kama unajichelewesha ndugu.
Nakutakia kila lakheri.
CHEZEA MUCCOBS WEWE UMESOMA ZAKO HUKO HKL UNAOMBA (BAF) HUEZI MALIZA PALE HATA KWA DAWA NI RAHISI SANA KULIONA KABURI LA BALALI KULIKO KUMALIZA PALE MIMI NIMEMALIZA BA-AF PALE 2014 TULIPOTEZA VIJANA WENGI SANAA SASA KWANINI ULIKUA HUKOMAI NA SHULE NDUGU!!
HALAFU KWA NINI UMEKARIRI CHUO TUU KAMA UNA CHETI ZA FORM FOUR NA FORM SIX UNGEKUA UMEENDA JESHINI SASA HIVI UNGEKUA LUTENI NA HAO WANAPIGA KUANZIA 1.85Million gross sasa hivi siungekua mbali mkuu .
POLE MKUU NA MUNGU AKUBARIKI PIA MAANA HAYO ULIYOPOTIA YANATISHA.
Fix miaka kama ilibidi umalize 2013 chuo tengeneza cheti ambacho una miaka 24 halafu nenda jeshi mshahara wenyewe wa diploma unamfaa mtoto wa kike wewe wa kiume labda uolewe na wewe!
Ada ya ualimu nayo unataka kukopeshwa wakati kwa diploma ni 300,000 kwa mwaka unakula hapo hapo jamaa acha utani mkuu maisha siyo rahisi hivyo