Mkopo kwa wanafunzi wa diploma ya ualimu?

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
Habari zenu wana JF naomba kuuliza kwa wanaosoma diploma ya ualimu katika vyuo vya serikali kuna mkopo? sababu nilishindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu kwasababu ya kukosa mkopo sasa nataka niombe ualimu.
 
Mwaka huu upo kwa masomo ya sayansi na uwe una divition one au tu,

ingia mtandao wa wizara ya elimu wametangazaa na kuweka sifaa hapo
 
habari zenu wana jf naomba kuuliza kwa wanaosoma diploma ya ualimu katika vyuo vya serikali kuna mkopo? sababu nilishindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu kwasababu ya kukosa mkopo sasa nataka niombe ualimu.

Mawazo yako ya kusoma Diploma ya Ualimu ni mazuri . Lakini kama una alama za kukufanya u-apply vyuo vikuu ni bora ukafanya hivyo. Huu ni ushauri wabureee ambao huitaji kulipa pesa.

Kwa sasa vyuo vya Ualimu vinatoa Diploma ya Ualimu kwa Muda wa miaka 3....hii ni kwa level zote...iwe Ualimu wa kwa ajili ya kufundisha shule za msingi au kufundisha Sekondari.

Sasa kusomea Diploma kwa muda wa miaka 3 ni bora zaidi ukaomba fani hiyo hiyo ya Ualimu katika vyuo vikuu ili baada ya miaka hiyo mitatu uwe na Bachelor Degreee instead of Diploma.

Nadhani pia ukiomba Bachelor degree kwa vyuo vikuu...tena katika fani ya ualimu hata mkopo pia unaweza ukabahatika kupata.

Otherwise to study diploma in Education for 3 years...mhmhm ni kama unajichelewesha ndugu.
Nakutakia kila lakheri.
 
O'level nina div2 ya 21 na advance nina div2 ya 12 nilishapata chuo muccobs na nilikua nakula boom kwa bahati mbaya sikumaliza mwaka2013 nikaomba chuo nikapata mlimani nilipata allocation ya loan lakini kwenye malipo bodi wakazingua kunilipa kwakua nina deni la MUCCOBS

Nilifatilia sana lakini sikufanikiwa nikaamua kuandika barua ya kupostipone kwaiyo kwa hali iyo imenifanya japo niombe ata ualimu kwakua sitaweza kundelea na chuo bila mkopo.
 
Huwez kupata mkopo mwingine hadi ulipe deni ilo la MUCCOBS.

Ulipaswa kulipa kabla ya kwenda UD.
 
Ndiomaana nataka niende diploma ya education najua ata nikiomba chuo kikuu napata tatizo lipo loan board systeam yao haitanilipa kwasababu tajwa apo juu.

Hadi death certficate za wazazi nilishaambatanisha wakanipa asilimi mia likini kwenye malipo system ikanitema.
 
hapo ni tatizo pia ulipaswa kuandika barua kutokana na tatizo lililokufanya usimalize yaan unge postpond kwa mwaka huo. ila kama ulidisco chuo kingine utapata ila mkopo utoweza kupata kwa diploma utapata endapo kama information zako hazitofika huko cha msingi wapigie simu ili wakupe maelezo kamili mwisho ni tar 28 mwez huu ku apply
 
CHEZEA MUCCOBS WEWE UMESOMA ZAKO HUKO HKL UNAOMBA (BAF) HUEZI MALIZA PALE HATA KWA DAWA NI RAHISI SANA KULIONA KABURI LA BALALI KULIKO KUMALIZA PALE MIMI NIMEMALIZA BA-AF PALE 2014 TULIPOTEZA VIJANA WENGI SANAA SASA KWANINI ULIKUA HUKOMAI NA SHULE NDUGU!!

HALAFU KWA NINI UMEKARIRI CHUO TUU KAMA UNA CHETI ZA FORM FOUR NA FORM SIX UNGEKUA UMEENDA JESHINI SASA HIVI UNGEKUA LUTENI NA HAO WANAPIGA KUANZIA 1.85Million gross sasa hivi siungekua mbali mkuu .

POLE MKUU NA MUNGU AKUBARIKI PIA MAANA HAYO ULIYOPOTIA YANATISHA.
 
Fix miaka kama ilibidi umalize 2013 chuo tengeneza cheti ambacho una miaka 24 halafu nenda jeshi mshahara wenyewe wa diploma unamfaa mtoto wa kike wewe wa kiume labda uolewe na wewe!
 
Ada ya ualimu nayo unataka kukopeshwa wakati kwa diploma ni 300,000 kwa mwaka unakula hapo hapo jamaa acha utani mkuu maisha siyo rahisi hivyo
 
Hukupaswa kumkejeli bali ulipaswa kumshauri...safari bado ni ndefu sana na sio kama unavyodhani ndugu....
 
Back
Top Bottom