Mkopo kwa wanaoenda diploma, wakuu msaada hali ni mbaya

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
Wakuu naomba mniambie jinsi ya kuomba mkopo kwa wale wa diploma ya elimu( form four) ya masomo ya sayansi , ni jinsi gani wana apply mkopo ! Nina mdogo Wangu kachaguliwa udom ( diploma) wameambiwa waombe mkopo ! Msaada jinsi ya kuapply huo mkopo
 
mda ulisha pita ilikuwa mwisho tarehe 10 september 2014
 
Asubiri mpaka aende chuo!
Atafanya michakato yote huko.
 
Anaruhusiwa kuomba hata sasa kulipia hela ya maombi kupitia mpesa akaunti ni index yako ya form four na mwaka uliohitimu kidato cha nne, mfano index yako kidato cha nne ni s0032/0056 na mwaka wa kuhitimu ni 2013 unaandika s0032.0056.2013 kiasi ni tshs 30,000/=

Baada ya malipo tembelea website ya loan board www.heslb.go.tz then unachagua OLAS na kufuata maelekezo. Fanya haraka hujachelewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…