Mkopo kwa wenye diploma qualifications

Mkopo kwa wenye diploma qualifications

wabongo hamtaki kuambiwa ukweli sasa kama waliomaliza form 6 miaka 2 nyuma hawapati itakuwa dip.
Kinachotakiwa ni vigezo tu boss wangu maana naona wengine mnaanza kuingilia maamuz ya bod,let them reveal the truth.Thx 4 u're help guys
 
hawa watu wa bodi na tcu waliojiwa ms itv mwishoni mwa mwezi wa sita ktk kipindi cha kipima joto. walilitolea ufafanuzi vizuri swala hili na wakaahidi mwaka huu watu waliomba vyuo kwa sifa za diploma watapewa mkopo, maana walisema wanahitaji watu 20eflu kila mwaka kwa sifa za dip ila walioomba mwaka huu walikuwa 6000 na ushee. kiasi kidogo sana tofauti ni miaka ya nyuma.

Bora wewe umekuja na udhibitisho
 
dah nawashukuru wakuu kwa michango yenu,nimepata picha halisi kuwa hapo ni hamsini kwa hamsini
 
Back
Top Bottom