hawa watu wa bodi na tcu waliojiwa ms itv mwishoni mwa mwezi wa sita ktk kipindi cha kipima joto. walilitolea ufafanuzi vizuri swala hili na wakaahidi mwaka huu watu waliomba vyuo kwa sifa za diploma watapewa mkopo, maana walisema wanahitaji watu 20eflu kila mwaka kwa sifa za dip ila walioomba mwaka huu walikuwa 6000 na ushee. kiasi kidogo sana tofauti ni miaka ya nyuma.