Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
mh, maelezo zaidi naweza kutoa kwa mtu atayekuwa tayari siwezi kumwaga kila kitu hapa.
Kumpata mtu atakayekuwa tayari kutoa hiyo hela inategemeana sana na maelezo yako ya awali. Kwa mtazamo wangu haya maelezo ya awali hayajitoshelezi kupata fedha katika soko la Tanzania hasa ikizingatia kuwa unahitaji mkopo wa muda mrefu kidogo. Uzoefu wangu kwa hapa bongo lazima mtu aitoe hela kwenye mzunguko wake wa biashara ndio akupe wewe, kumkuta mtu anayo cash bank hiyo lazima awe fisadi au watu waliojaaliwa kama Riz1 Kikwete