Vianelly Vian
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 337
- 100
Unataka mkopo wa kiasi gani na je ni wabiadhara au? una asset gani?
jaribu BoT
Equty niwazuri ila uwe umefungua account kwao izunguke kwa miezi 3 ila niwazuri na hana masharti magumu, japo hupenda zaidi mteja kuanzia kwenye mkopo wa kikundi cha watu 5 au 6, kama una Tin na leseni nenda ofisi zao za posta au mwenge watakusaidia