Vianelly Vian
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 337
- 100
Msaada ni bank gani hapa tanzania inatoa mikopo kwa masharti nafuu na riba yao ni kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka mkopo wa kiasi gani na je ni wabiadhara au? una asset gani?
jaribu BoT
Equty niwazuri ila uwe umefungua account kwao izunguke kwa miezi 3 ila niwazuri na hana masharti magumu, japo hupenda zaidi mteja kuanzia kwenye mkopo wa kikundi cha watu 5 au 6, kama una Tin na leseni nenda ofisi zao za posta au mwenge watakusaidia