the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,102
- 355
Kwanini mkuu.Kwa take home yake ni kama vile yuko TGS D au E. Hakuna benki atakayoweza kukopa milioni 30 kwa hapa bongo.
Akipata sana ni 15-20 tena kwa miaka 8.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu.Kwa take home yake ni kama vile yuko TGS D au E. Hakuna benki atakayoweza kukopa milioni 30 kwa hapa bongo.
Akipata sana ni 15-20 tena kwa miaka 8.
1/3 lazima ibakiKwanini mkuu.
aah kumbeKwa take home yake ni kama vile yuko TGS D au E. Hakuna benki atakayoweza kukopa milioni 30 kwa hapa bongo.
Akipata sana ni 15-20 tena kwa miaka 8.
Vipi una experience ya kukopa?Ukitaka kupoteza mwelekeo wa maisha, we chukua mkopo uwe wa bank or saccos...umekwisha[emoji848]
Dunduliza vimshahara vyako hivyo hivyo ufanyie jambo lako
hii ni tishio aseeNaona CRDB inawezekana kukupa mkopo wa m 30 na kuendelea kwa makato ya sio chini ya 450,000/= kwa miaka siyopungua nane,lakini ukitaka ufafanuzi nenda bank upate maelezo.