Prince mrema
Member
- Oct 11, 2017
- 61
- 72
Habari wakuu. Kumekuwa na apps nying mtandaon za mikopo ambazo nyingi ni za uongo.. Naomben kujua ni app gan inayotoa mkopo bila ubabaishaj
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda bank kakopeHabari wakuu. Kumekuwa na apps nying mtandaon za mikopo ambazo nyingi ni za uongo.. Naomben kujua ni app gan inayotoa mkopo bila ubabaishaj
Ha ha haaaaNenda bank kakope
Hii unaambiwa jarib baada ya siku 7.. Xku xaba zkipita unaambiwa ivo ivoBranch
App yao haipo playstoreTALA
Pesa X LoanApp yao haipo playstore
[emoji3][emoji3][emoji3] nyonya damu
Hii tz haipo ilishafungwa.Wanaojitangaza saiz wote ni matpTALA
Wana App PlayStore?Mi nilikopa jipimie cash, ni fasta tu nilivuta 800,000. Kitambulisho na picha yako tu.
WanayoWana App PlayStore?
Hahahahah wanasumbua hao,plus riba kubwaAchana na pesa x.
Achana na pesa x.
Achana na pesa x.
Hivi branch Ukilipa Deni la Mwanzo huwa Wanaongeza Kiasi ganiHa ha haaaa