Thanks . Bachelor of water resources & irrigation engineering. Nimekosa mwe!Kwanza,,,ongera kwa waliopata.lakini kitu cha msingi ni kujua kwamba fakati gani ulikuwa umechaguliwa,,,na je ni priority?maana unapokuwa unafuatilia ususan ukienda bodi hayo ndio maswali utakayo ulizwa,,,,kama course yako ni priority,,,lakini umekosa fuatilia utapata,,usikate tamaa,,,serikali iliweka kipao mbele,,,ila bodi pale kuna mchezo unaendelea sio mzuri,,,,,wakati mwingine usilaumu serikali bila kufuatilia na kujua swala lako liko je?kwa hiyo usiludi nyuma,,,''go ahead'''ni kitu cha msingi.
Thanks . Bachelor of water resources & irrigation engineering. Nimekosa mwe!
tunashukuru kwa taarifa,Kwanza,,,ongera kwa waliopata.lakini kitu cha msingi ni kujua kwamba fakati gani ulikuwa umechaguliwa,,,na je ni priority?maana unapokuwa unafuatilia ususan ukienda bodi hayo ndio maswali utakayo ulizwa,,,,kama course yako ni priority,,,lakini umekosa fuatilia utapata,,usikate tamaa,,,serikali iliweka kipao mbele,,,ila bodi pale kuna mchezo unaendelea sio mzuri,,,,,wakati mwingine usilaumu serikali bila kufuatilia na kujua swala lako liko je?kwa hiyo usiludi nyuma,,,''go ahead'''ni kitu cha msingi.
Asante kwa kututia moyo. Hope bodi itatoa nafasi ya kuappeal au kama usemavyo tukifuatilia tutapata maana hata eng livingstone naye analiafuatilia kijana,,,utapata tu,,,,usikaate tamaaa
Thanks again .you are our inspirational source! Be blessed .Bodi watatoa majina ya priority ambao wamekosa mkopo na sababu zilizopelekea kukosa,jambo la muhimu ni kuwa nyaraka zote muhimu ambazo ulitumia kujazia fomu yako ya mkopo kwani muda wowote kuanzia juma3 mtahitajika bodi
je kusomea nje ya tanzania ni tatizo jaman?
Nakubaliana na wewe kabisa, hila unaweza shauri nini kuhusu kiswahili? Labda TBC1 redio kidogo wanapiga kiswahili mwanzo mwisho, kuhusu FM redio zingine ni kuchanganya lugha. Unategemea tutakuwa na kiswahili kizuri? Viongozi wakisimama wanakandamiza kingereza na kiswahili hapohapo, unategemea nini kwenye taifa? Kijana hacha kukosoa toa suluhisho la nini kifanyike.tunashukuru kwa taarifa,
ila ni kweli kiswahili ni tatizo kwa watanzania au kujifanyisha tu,msomi huyo msomi huyu,,,mmmmh
hiyo fakati si kiswahili fasaha,ni KITIVO,
ONGERA HAKUNA KUNA HONGERA,
#KISWAHILI KWA MAENDELEO
loan ina vigezo vingi,je O level na A level ulisoma private?wazazi wako wote wapo hai? Hauna ulemavu wowote?........any way kufuatilia ndio jambo la msinginimechaguliwa Mechanical Engineering Udsm lakini nimekosa mkopo inakuaje wadau?
Primary nimesoma shule ya kijijiWe mbna hyo facult weng 100% umesoma private xulz(irrigation engrng