Mkopo na Priority Programs: Ingia hapa ujue kama utapata au umekosa...

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Kwanza,,,ongera kwa waliopata.lakini kitu cha msingi ni kujua kwamba fakati gani ulikuwa umechaguliwa,,,na je ni priority?maana unapokuwa unafuatilia ususan ukienda bodi hayo ndio maswali utakayo ulizwa,,,,kama course yako ni priority,,,lakini umekosa fuatilia utapata,,usikate tamaa,,,serikali iliweka kipao mbele,,,ila bodi pale kuna mchezo unaendelea sio mzuri,,,,,wakati mwingine usilaumu serikali bila kufuatilia na kujua swala lako liko je?kwa hiyo usiludi nyuma,,,''go ahead'''ni kitu cha msingi.
 
Thanks . Bachelor of water resources & irrigation engineering. Nimekosa mwe!
 
Bsc mining engineering nimekosa na nipo nje ya DSM nifanyeje ili niweze kupata
 
Kwanza,,,ongera kwa waliopata.lakini kitu cha msingi ni kujua kwamba fakati gani ulikuwa umechaguliwa,,,na je ni priority?maana unapokuwa unafuatilia ususan ukienda bodi hayo ndio maswali utakayo ulizwa,,,,kama course yako ni priority,,,lakini umekosa fuatilia utapata,,usikate tamaa,,,serikali iliweka kipao mbele,,,ila bodi pale kuna mchezo unaendelea sio mzuri,,,,,wakati mwingine usilaumu serikali bila kufuatilia na kujua swala lako liko je?kwa hiyo usiludi nyuma,,,''go ahead'''ni kitu cha msingi.
tunashukuru kwa taarifa,
ila ni kweli kiswahili ni tatizo kwa watanzania au kujifanyisha tu,msomi huyo msomi huyu,,,mmmmh
hiyo fakati si kiswahili fasaha,ni KITIVO,
ONGERA HAKUNA KUNA HONGERA,
#KISWAHILI KWA MAENDELEO
 
Bodi watatoa majina ya priority ambao wamekosa mkopo na sababu zilizopelekea kukosa,jambo la muhimu ni kuwa nyaraka zote muhimu ambazo ulitumia kujazia fomu yako ya mkopo kwani muda wowote kuanzia juma3 mtahitajika bodi
 
Jaman mimi educ nimekosa na priority,nyaraka zote muhimu ninazo,ngoja tusubilie hayo majina,tunashukuruni kwa kutupa moyo jamani
 
Bodi watatoa majina ya priority ambao wamekosa mkopo na sababu zilizopelekea kukosa,jambo la muhimu ni kuwa nyaraka zote muhimu ambazo ulitumia kujazia fomu yako ya mkopo kwani muda wowote kuanzia juma3 mtahitajika bodi
Thanks again .you are our inspirational source! Be blessed .
 
nimechaguliwa Mechanical Engineering Udsm lakini nimekosa mkopo inakuaje wadau?
 
ila kama ulisoma shule za gharama ata usisumbuke kwenda heslb
 
nimesoma Tabora school nimechaguliwa water resources&irrigation engineering.
 
tunashukuru kwa taarifa,
ila ni kweli kiswahili ni tatizo kwa watanzania au kujifanyisha tu,msomi huyo msomi huyu,,,mmmmh
hiyo fakati si kiswahili fasaha,ni KITIVO,
ONGERA HAKUNA KUNA HONGERA,
#KISWAHILI KWA MAENDELEO
Nakubaliana na wewe kabisa, hila unaweza shauri nini kuhusu kiswahili? Labda TBC1 redio kidogo wanapiga kiswahili mwanzo mwisho, kuhusu FM redio zingine ni kuchanganya lugha. Unategemea tutakuwa na kiswahili kizuri? Viongozi wakisimama wanakandamiza kingereza na kiswahili hapohapo, unategemea nini kwenye taifa? Kijana hacha kukosoa toa suluhisho la nini kifanyike.
 
nimechaguliwa Mechanical Engineering Udsm lakini nimekosa mkopo inakuaje wadau?
loan ina vigezo vingi,je O level na A level ulisoma private?wazazi wako wote wapo hai? Hauna ulemavu wowote?........any way kufuatilia ndio jambo la msingi
 
Back
Top Bottom