NMDA antagonist
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 143
- 106
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kha!!! Mwenzio hataki kukopa Halafu we unamwambia akope!!![emoji23] [emoji23]Kakope mkuu! Au una kitega uchumi kingine?
Ni sahihiJikope mwenyew uweke akiba utaachan na dhana ya mkopo
Ili uweze kuendelea lazima ukope, bila mikopo huwezi kupiga hatua mkuu, Ukiwa makini Mikopo inasaidia sana, lkn km haupo makini basi utaichukia mikopo.