NMDA antagonist
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 143
- 106
Habar za humu wakuu. Naombeni ushauri ni ipi njia mbadala ingine itakayoweza kunitoa kimaisha. Nahitaji kutokana na fikra ya mkopo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kha!!! Mwenzio hataki kukopa Halafu we unamwambia akope!!![emoji23] [emoji23]Kakope mkuu! Au una kitega uchumi kingine?
Ni sahihiJikope mwenyew uweke akiba utaachan na dhana ya mkopo
Ili uweze kuendelea lazima ukope, bila mikopo huwezi kupiga hatua mkuu, Ukiwa makini Mikopo inasaidia sana, lkn km haupo makini basi utaichukia mikopo.