kukopa na kununua plot ni uzuzu . Kopa kwa ajili ya biashara na sio vinginevyo
kukopa na kununua plot ni uzuzu . Kopa kwa ajili ya biashara na sio vinginevyo
Nikweli mkuu,huyo jamaa ana maisha ya kukariri,yaani yeye akili yote ni biashara ya aina moja,kumbe hajui kuna biashara za aina nyingi.Wale walionunu mashamba kule chanika kwa elfu hamsini,leo hii ni mamilionea.ushauri wako hauna maana, unajua value appreciation ya plot wewe! Mie nilinunua plot kwa 11mil dar kwa njia ya mkopo bank ili kufanikisha malipo nikaiuza mwaka jana 70mil. Which business will u undertake to accrue such super profit? Usilolijua ni sawa na ucku wa giza, wacha wenzio waamue mambo yao usiwe mwamuzi wa jambo usilolifanyia utafiti.
Nikweli mkuu,huyo jamaa ana maisha ya kukariri,yaani yeye akili yote ni biashara ya aina moja,kumbe hajui kuna biashara za aina nyingi.Wale walionunu mashamba kule chanika kwa elfu hamsini,leo hii ni mamilionea.
kukopa na kununua plot ni uzuzu . Kopa kwa ajili ya biashara na sio vinginevyo
ushauri wako hauna maana, unajua value appreciation ya plot wewe! Mie nilinunua plot kwa 11mil dar kwa njia ya mkopo bank ili kufanikisha malipo nikaiuza mwaka jana 70mil. Which business will u undertake to accrue such super profit? Usilolijua ni sawa na ucku wa giza, wacha wenzio waamue mambo yao usiwe mwamuzi wa jambo usilolifanyia utafiti.
Nikweli mkuu,huyo jamaa ana maisha ya kukariri,yaani yeye akili yote ni biashara ya aina moja,kumbe hajui kuna biashara za aina nyingi.Wale walionunu mashamba kule chanika kwa elfu hamsini,leo hii ni mamilionea.
ushauri wako hauna maana, unajua value appreciation ya plot wewe! Mie nilinunua plot kwa 11mil dar kwa njia ya mkopo bank ili kufanikisha malipo nikaiuza mwaka jana 70mil. Which business will u undertake to accrue such super profit? Usilolijua ni sawa na ucku wa giza, wacha wenzio waamue mambo yao usiwe mwamuzi wa jambo usilolifanyia utafiti.
Rudi usome juu, wenzako wameajiriwa na wanapata mishahara. Ila kwa Tanzania hii kukopa na kununua plot na kukopa ili ufanye biashara, plot haina risk kama za biashara na itakupa returns kubwa sana kuliko biashara nyingi...hiyo ni.moja ya biashara lakini yataka moyo sababu ni sawa na kucheza bahati nasibu, unakopa leo na benki wanataka marejesho kila mwezi unanunua kiwanja unachotegemea kuuza miaka mitatu mbele marejesho ya kila mwezi utayapata wapi?
ahsante kwa kunisaidia....sio rahisi sana kwa mtumishi wa serikali kujenga bila mikopo otherwise awe na source nyingine mbali na mshahara.
Rudi usome juu, wenzako wameajiriwa na wanapata mishahara. Ila kwa Tanzania hii kukopa na kununua plot na kukopa ili ufanye biashara, plot haina risk kama za biashara na itakupa returns kubwa sana kuliko biashara nyingi...
Mmeshindwa kumuelewa, kununua plot anakoona ni upuuzi ni kununua plot kwa minajili ya kutaka kujenga nyumba ya kuishi.
Nyie mmenunua kwa ajili ya kufanya biashara, kitu ambacho mnaunga mkono hoja yake ya msingi "...kukopa na kununua plot ni upuuzi, kopa ili ufanye biashara"
Uzuzu ni kukopa kwenda kuanzisha biashara instead ya kuchukua business loan kukuza mtaji.Ndio maana waajiriwa wengi wana maisha magumu. Mshahara laki tano unakopa milioni 7 makato laki tatu unaenda kununua plot kama sio uzuzu huo ni nini?
Mkuu pole Sana. ukweli ni kwamba NMB wameikopesha serikali mabilioni ya shilingi kulipia mishahara so wao hawana hiyo hela...
Sio huko tu TZ nzima hali ni hiyo hiyo mambo magumu.