Mkopo NMB

Mkopo NMB

kukopa na kununua plot ni uzuzu . Kopa kwa ajili ya biashara na sio vinginevyo

ushauri wako hauna maana, unajua value appreciation ya plot wewe! Mie nilinunua plot kwa 11mil dar kwa njia ya mkopo bank ili kufanikisha malipo nikaiuza mwaka jana 70mil. Which business will u undertake to accrue such super profit? Usilolijua ni sawa na ucku wa giza, wacha wenzio waamue mambo yao usiwe mwamuzi wa jambo usilolifanyia utafiti.
 
Nikweli mkuu,huyo jamaa ana maisha ya kukariri,yaani yeye akili yote ni biashara ya aina moja,kumbe hajui kuna biashara za aina nyingi.Wale walionunu mashamba kule chanika kwa elfu hamsini,leo hii ni mamilionea.
 
ahsante mkuu...amekariri maisha..imagine kiwanja ninachopatabkwa 10m leo baadabya miaka mitano ukauza kwa 40m ni biashara isiyohitaji attention na still u make profit..op ametuelewa.
 
ushauri wako hauna maana, unajua value appreciation ya plot wewe! Mie nilinunua plot kwa 11mil dar kwa njia ya mkopo bank ili kufanikisha malipo nikaiuza mwaka jana 70mil. Which business will u undertake to accrue such super profit? Usilolijua ni sawa na ucku wa giza, wacha wenzio waamue mambo yao usiwe mwamuzi wa jambo usilolifanyia utafiti.

Kuna kununua plot kwaajili ya biashara na kwaajili ya matumizi binafsi (wengi wetu tuna nunua kwaajili ya kujenga nyumba za kuishi), wewe ulinunua plot kwaajili ya biashara, kitu ambachu unakubaliana na jamaa bila kujielewa.
 
Nikweli mkuu,huyo jamaa ana maisha ya kukariri,yaani yeye akili yote ni biashara ya aina moja,kumbe hajui kuna biashara za aina nyingi.Wale walionunu mashamba kule chanika kwa elfu hamsini,leo hii ni mamilionea.

Mmeshindwa kumuelewa, kununua plot anakoona ni upuuzi ni kununua plot kwa minajili ya kutaka kujenga nyumba ya kuishi.

Nyie mmenunua kwa ajili ya kufanya biashara, kitu ambacho mnaunga mkono hoja yake ya msingi "...kukopa na kununua plot ni upuuzi, kopa ili ufanye biashara"
 
ushauri wako hauna maana, unajua value appreciation ya plot wewe! Mie nilinunua plot kwa 11mil dar kwa njia ya mkopo bank ili kufanikisha malipo nikaiuza mwaka jana 70mil. Which business will u undertake to accrue such super profit? Usilolijua ni sawa na ucku wa giza, wacha wenzio waamue mambo yao usiwe mwamuzi wa jambo usilolifanyia utafiti.

hiyo ni.moja ya biashara lakini yataka moyo sababu ni sawa na kucheza bahati nasibu, unakopa leo na benki wanataka marejesho kila mwezi unanunua kiwanja unachotegemea kuuza miaka mitatu mbele marejesho ya kila mwezi utayapata wapi?
 
Rudi usome juu, wenzako wameajiriwa na wanapata mishahara. Ila kwa Tanzania hii kukopa na kununua plot na kukopa ili ufanye biashara, plot haina risk kama za biashara na itakupa returns kubwa sana kuliko biashara nyingi...
 
Ndio maana waajiriwa wengi wana maisha magumu. Mshahara laki tano unakopa milioni 7 makato laki tatu unaenda kununua plot kama sio uzuzu huo ni nini?
 
Mmeshindwa kumuelewa, kununua plot anakoona ni upuuzi ni kununua plot kwa minajili ya kutaka kujenga nyumba ya kuishi.

Nyie mmenunua kwa ajili ya kufanya biashara, kitu ambacho mnaunga mkono hoja yake ya msingi "...kukopa na kununua plot ni upuuzi, kopa ili ufanye biashara"

Bado unauelewa mdogo kuhusu mikopo....
 
Ndio maana waajiriwa wengi wana maisha magumu. Mshahara laki tano unakopa milioni 7 makato laki tatu unaenda kununua plot kama sio uzuzu huo ni nini?
Uzuzu ni kukopa kwenda kuanzisha biashara instead ya kuchukua business loan kukuza mtaji.
 
laki si pesa narudia tena usiishi kwa kukaririr maisha...kuna njia unaweza ona weww ni ya kipuuzi lkn wenzio tunatokea hapo...biashara ina risk nyingi hususani kwa sie wafanyakazi ambao hatuna muda mwingi wa usimamizi ...uliwahi kusikia wapi ardhi inashuka thamani? je kuna ubaya gani nikinunua leo plot kwa 4m baada ya miaka 3 nikauza minimum ya 20m? kila mtu anabuni biashara zake kwa kuangalia fursa zilizopo karibu yake na muda alionao...usikariri maisha
 
Mkuu pole Sana. ukweli ni kwamba NMB wameikopesha serikali mabilioni ya shilingi kulipia mishahara so wao hawana hiyo hela...

Sio huko tu TZ nzima hali ni hiyo hiyo mambo magumu.

NDO UKWELI,wamesitisha mikopo kwa watu wa kawaida
 
Back
Top Bottom