Mkopo postgraduate ya education

Mkopo postgraduate ya education

njangu

Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
16
Reaction score
0
Wandugu naombeni mnijuze juu ya hili kwa mtu anaejua, mm nina first degree ambayo sio education lkn nna mpango wa kusoma postgraduate ya education je naweza pata mkopo kutoka bodi ya mikopo? NB first degree nlilipiwa na bodi 100%.
 
utapata mkopo but kama umeshamaliza kulipa deni lao.
 
Nipige tafu ya voda mpaka ulipe kwanza then ndo wanakukopesha mkuu!
 
kumbe unapenda kukopa! Kama unataka kupewa anza kama none degree holder wamaweza kukufikiria, from zero brain
 
Lipa kwanza na wenzio wakopeshwe!otherwise serikali yetu tukufu haitohusika na wewe..
 
sasa ukiwalipa then ukope tena duh hiyo ni contra entry sasa.
 
Asa mbona hawaanzi kukata au nijipeleke mwenyewe heslb? Utaratibu si mwajiri anapeleka taarifa huko esp when u r a govt employee?
 
kwa nn unataka kufanya PG ya educatio?kw nn first degree hukutaka kufanya elim.kama tayari una ajira kwa nn bado unataka kutumia pesa ya mlipa kodi wakati kuna kijana kamaliza 6 anategemea aombe mkopo asome nae apate ajira kama ww.
 
Back
Top Bottom