nyonga nyonga Member Joined Oct 2, 2013 Posts 27 Reaction score 4 Oct 3, 2013 #1 Habari wana Jf! Nina mdogo wangu, amepangiwa mkopo katika chuo tofauti na alicho chaguliwa. Je? ni taratibu zipi za kufata panapo tokea jambo kama hili. Asante.
Habari wana Jf! Nina mdogo wangu, amepangiwa mkopo katika chuo tofauti na alicho chaguliwa. Je? ni taratibu zipi za kufata panapo tokea jambo kama hili. Asante.
N nyota poa Senior Member Joined Aug 25, 2013 Posts 152 Reaction score 7 Oct 3, 2013 #2 nenda kweye ofisi za TCU,