Mkopo tofauti na chuo alicho pangiwa.

Mkopo tofauti na chuo alicho pangiwa.

nyonga nyonga

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
27
Reaction score
4
Habari wana Jf!
Nina mdogo wangu, amepangiwa mkopo katika chuo tofauti na alicho chaguliwa.

Je? ni taratibu zipi za kufata panapo tokea jambo kama hili.

Asante.
 
Back
Top Bottom