Mwanaharakati2013
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 170
- 15
Habari wakuu,
Mimi nina restaurant ipo kwenye eneo ambalo ni very potential. ninahitahi mkopo wa million tano. naweka dhamana ya biashara yangu na vitu vyote.
Naomba mnifahamishe ni wapi naweza pata mkopo huo kwenye bank au hata MTU binafsi aliye tayari kunikopesha.
natanguliza shukrani.