Mkopo wa 5million

Mkopo wa 5million

Mwanaharakati2013

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
170
Reaction score
15
Habari wakuu,

Mimi nina restaurant ipo kwenye eneo ambalo ni very potential. ninahitahi mkopo wa million tano. naweka dhamana ya biashara yangu na vitu vyote.

Naomba mnifahamishe ni wapi naweza pata mkopo huo kwenye bank au hata MTU binafsi aliye tayari kunikopesha.

natanguliza shukrani.
 
Hyo biashara yako ina thamani gani?je hilo eneo ilipo hyo restaurant umekodisha au ni mali yako?km umekodisha umelipa kodi kwa mda gani?taja eneo hilo unalodai ni potential hpa jijini,kuwa waz tufanye biashara.
 
Weka details za uhakika na plan ya biashara yako. Unaweza kupata interest free fund.
 
Hyo biashara yako ina thamani gani?je hilo eneo ilipo hyo restaurant umekodisha au ni mali yako?km umekodisha umelipa kodi kwa mda gani?taja eneo hilo unalodai ni potential hpa jijini,kuwa waz tufanye biashara.

eneo nimekodisha lipo town center.
 
Tenda Tujijenge Tanzania makumbusho jirani na ofisi za tigo kaombe mkopo
 
Kweli watanzania kujieleza ni tatizo.
yaani jamaa alivyoingia na alivyopoa na kujibu kinyonge,watu wote wameingia hofu.

Tafuta mtu ukuelekeze namna ya kuandaa proposal,hii haihitaji hata elim ya kihivyo,ni ujanja tu.
Unashindwa hata na mama lishe anaweza kukupa mchanganuo mzuri mpaka ukaingia kingi na kumkopesha.Sasa wewe una biashara ya mamilioni then kujieleza hujui?
 
Naomba uni pm tufanye kazi , nitakuandikia proposal na kukuonesha sehemu ya kupata hata zaidi ya hiyo
 
Unaomba mkopo wa million tano utazani Unaomba ela ya fegi.
 
Back
Top Bottom