Mwanaharakati2013
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 170
- 15
Hyo biashara yako ina thamani gani?je hilo eneo ilipo hyo restaurant umekodisha au ni mali yako?km umekodisha umelipa kodi kwa mda gani?taja eneo hilo unalodai ni potential hpa jijini,kuwa waz tufanye biashara.
Tenda Tujijenge Tanzania makumbusho jirani na ofisi za tigo kaombe mkopo
Unaomba mkopo wa million tano utazani Unaomba ela ya fegi.
Nilisahau kukujibu muungwana. Mi ni small time investor, natoa riba ya 12 pc. provided mkataba wa lawyer na bonds unashughulika wewe, mie nakuja tu mashahidi zangu wa 2. Ndani ya nusu mwaka deni liwe limelipika. sounds good?Abdulhalim niambie vigezo vyako mkuu