Pips Man vipi fx imekutafuna unatafuta booster?Wakuu habari za weekend na za jumapili..
Nahitaji mkopo wa tsh. 800,000 ni waharaka nahitaji Kwa ajili ya mambo ya biashara yangu.
Riba isiwe Kubwa Sana marejesho ndani ya mwezi mmoja tu.
Dhamana naweza kuweka vifaa vyangu vya bekary Machine vyenye thamani Marabili au zaidi ya hiyo pesa.
Kwa mwenye kujua sehemu au mtu atayeweza kunipa huo mkopo pia unaweza niambia.
nitashukuru.
800,000 kwenye fx si hela ya sekunde moja tu?Hayahusiani na fx kabisa..
Faida ya hii ela ni sh ngapi niambieWakuu habari za weekend na za jumapili..
Nahitaji mkopo wa tsh. 800,000 ni waharaka nahitaji Kwa ajili ya mambo ya biashara yangu.
Riba isiwe Kubwa Sana marejesho ndani ya mwezi mmoja tu.
Dhamana naweza kuweka vifaa vyangu vya bekary Machine vyenye thamani Marabili au zaidi ya hiyo pesa.
Kwa mwenye kujua sehemu au mtu atayeweza kunipa huo mkopo pia unaweza niambia.
nitashukuru.
Faida ya huu mkopo ni sh ngap yaani kweny iyo 800,000 utaweka sh ngapi as a faida?Wakuu habari za weekend na za jumapili..
Nahitaji mkopo wa tsh. 800,000 ni waharaka nahitaji Kwa ajili ya mambo ya biashara yangu.
Riba isiwe Kubwa Sana marejesho ndani ya mwezi mmoja tu.
Dhamana naweza kuweka vifaa vyangu vya bekary Machine vyenye thamani Marabili au zaidi ya hiyo pesa.
Kwa mwenye kujua sehemu au mtu atayeweza kunipa huo mkopo pia unaweza niambia.
nitashukuru.
poaInategemeana Kwan sasa nimesimama for almost 6 months hadi next year January nitarudi najipanga kwanza kwenye issues nyingine.
Kwelii mkuu bora umejua hivooHapana sio wa huko I know the rules (don't invest the money that you can't afford to lose)
Hela ya mkopo huwezi ukaigiza fx unaweza lia bure..😁
Kwa lot size ipi?800,000 kwenye fx si hela ya sekunde moja tu?
Namzingua tu kwasababu nimeona anajiita pips manKwa lot size ipi?
Kwa TP ya pips ngapi?
Kwa mtaji upi?
Lot size ya 0.01 mkuu tujilipue kiroho mbaya kabisa.Kwa lot size ipi?
Kwa TP ya pips ngapi?
Kwa mtaji upi?
Namzingua tu kwasababu nimeona anajiita pips man