Mkopo wa 800,000 wenye riba nafuu unaitajika haraka

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Wakuu habari za weekend na za jumapili..

Nahitaji mkopo wa tsh. 800,000 ni waharaka nahitaji Kwa ajili ya mambo ya biashara yangu.

Riba isiwe Kubwa Sana marejesho ndani ya mwezi mmoja tu.

Dhamana naweza kuweka vifaa vyangu vya bekary Machine vyenye thamani Marabili au zaidi ya hiyo pesa.

Kwa mwenye kujua sehemu au mtu atayeweza kunipa huo mkopo pia unaweza niambia.
nitashukuru.
 
Pips Man vipi fx imekutafuna unatafuta booster?
 
Wakuu habari za weekend na za jumapili..

Nahitaji mkopo wa tsh. 800,000 ni waharaka nahitaji Kwa ajili ya mambo ya biashara yangu.

Riba isiwe Kubwa Sana marejesho ndani ya mwezi mmoja tu.

Dhamana naweza kuweka vifaa vyangu vya bekary Machine vyenye thamani Marabili au zaidi ya hiyo pesa.

Kwa mwenye kujua sehemu au mtu atayeweza kunipa huo mkopo pia unaweza niambia.
nitashukuru.
Faida ya hii ela ni sh ngapi niambie
 
Faida ya huu mkopo ni sh ngap yaani kweny iyo 800,000 utaweka sh ngapi as a faida?
 
Faida nitaongeza asilimia 25% almost 200,000 tu.. Km faida.
 
800,000 kwenye fx si hela ya sekunde moja tu?
Inategemeana Kwan sasa nimesimama for almost 6 months hadi next year January nitarudi najipanga kwanza kwenye issues nyingine.
 
Pips man unaweka position kubwa mnooo. Forex is not for everyone. Mkopo ni wa fx boss
Hapana sio wa huko I know the rules (don't invest the money that you can't afford to lose)

Hela ya mkopo huwezi ukaigiza fx unaweza lia bure..😁
 
Kwelii mkuu bora umejua hivoo
 
Back
Top Bottom