Mkopo wá bajaji guta na bodaboda kwa watumishi wa umma bila ya KIANZIO wala mdhamana

Mkopo wá bajaji guta na bodaboda kwa watumishi wa umma bila ya KIANZIO wala mdhamana

MR KWACHA

Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
98
Reaction score
87
Habari
Naomba kutangaza fursa kwa watumishi wa umma ya uwepo wa mkopo wa BAJAJI GUTA AU PIKIPIKI pasipo kuwa na mdhamana na kianzio chochote. Hii ni Sabi mtumishi wa umma tupi katika mfumo wa serikalin ambapo tunakuwa na uhakika wa kupata taarifa zake na yeye pia kupitia mfumo wa ess, kwahiyo haleuba hajat ya kuwa na kianzio, mdhamana, mdhamin au kiambata chochote zaidi ya yeye kuwa yupo kwenye mfumo wa ess.

Ili mtumishi wa umma aweze kupata mkopo Hui wa bajaji guta na pikipiki anapaswa Mwanza kuwa kazini kwa walau miezi 12 yaani mwaka mmoja. Pili, awé na uwezo wa kukopesheka yaani asiwe na mkopo sehemu zingine na kuwa ameshakopa robo Tatu ya mshahara wake. Tatu awé mtumishi wa umma aliye kwenye mfumo wa ess.

    • Kipindi Cha kukopa ni miezi 3 miezi 6 miezi 12 au miezi 24
    • Muda wa marejesho ni kila mwezi
    • Riba ni asilimia 3.5% kwa mwezi
Kwa mawasiliano zaidi 0686153806
 
Back
Top Bottom