Mkopo wa bajaji

Mkopo wa bajaji

mushi

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
10
Reaction score
3
Naomba kuuliza wapi nawezakupata mkopo wa bajaji hapa dar es salaam??
 
Nenda karibu nakiwanda cha sigara kuna wale jamaa wanakopesha.
 
NMB bank walikuwa wanatoa mikopo ya bajaj labda ukaulizie huko
 
Back
Top Bottom