Wanajamvi,
Nina nyumba yangu iko Maji Matitu Mbagara,haina hati wala lseni ya makazi,nahitaji kupata mkopo wa walau 5m,ni taasisi gani au benki,au SACCOS gani yenye masharti nafuu na yenye kukubali dhamana kama ya nyumba yangu.Msaada tafadhali.Ntashukuru nikipata na mwasiliano ya sehemu hizo.