mkopo wa bei nafuu

mkopo wa bei nafuu

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,970
Wanajamvi,

Nina nyumba yangu iko Maji Matitu Mbagara,haina hati wala lseni ya makazi,nahitaji kupata mkopo wa walau 5m,ni taasisi gani au benki,au SACCOS gani yenye masharti nafuu na yenye kukubali dhamana kama ya nyumba yangu.Msaada tafadhali.Ntashukuru nikipata na mwasiliano ya sehemu hizo.
 
hiyo nyumba haifai kama dhamana, itafutie leseni ya makazi kwanza, pili unataka mkopo kwa ajili ya nini
 
Back
Top Bottom