bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Nikomae kivp?au dalali wangu ndio akomae?komaa nazo mzee
hisa zina thamani ya sh ngapi naweza kukushauri la kufanyaNikomae kivp?au dalali wangu ndio akomae?
Million 10+hisa zina thamani ya sh ngapi naweza kukushauri la kufanya
Million 10+
Million 8 mkuuunahitaji mkopo wa sh ngapi
Million 8 mkuu
Hata hii ni uhakika tena ni 13m to be exact.Vp una njia ya kunisaidia au?Kwanza ujue mkpo haukaribiani sana na dhamana, mfano ukihitaji mkopo wa sh mil 8 lazima dhamani iwe ya sh mil 17 kwenda juu na iwe ni dhaman ya uhakika inayoeleweka na ambayo imetathminiwa kwa kiasi hicho
Hao ndio nimewapelekea waniuzie lakini wapiiiTafuta mawakala wa hisa watakushauri
swala liko hivi, ningejaribu endapo ningekuwa na uhakika kuwa hizo hisa zinalipa vizuri kila mwisho wa mwaka, pili kukukopesha ni ngumu kidogo kwa sababu dhamana yake kama hisa sijui process ya kuziweka kama dhamana sielewi inakuwaje ndio tatizo langu kubwa maana sijawahi kufikiria kununua hisa.Hata hii ni uhakika tena ni 13m to be exact.Vp una njia ya kunisaidia au?