bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Wakuu
Nina hisa zangu za NMB nilinunua 2008 ,sasa najaribu kuziuza sababu na shida ya pesa ila sasa ni mwezi wa pili haziuziki.
Nawaza hakuna taasisi yoyote ya kifedha inayoweza kutoa mkopo na hizo hisa ziwe dhamana yangu?