Mkopo wa benki za Tanzania ni biashara au hisani?

Mkopo wa benki za Tanzania ni biashara au hisani?

nenda NBC/CBA wanashika watu milangoni wakakope

pili usiombe mkopo wakati unashida utatukana watu wote bank

tatu kukopa ni porcess anaza na mkopo mdogo ukijenga profile yako wajuwe una kopesheka

nne, sheria na mashariti ya mikopo ni ile ile kwa bank zote, procedure za kukupa huo mkopo ndio zaweza differ

Mkuu hiyo namba tatu yako hai apply kwa BOA bank. Hata wawe na security yako kubwa kiasi gani watakuzungusha balaa. Ni pm nikupe details zaidi ukitaka.
 
mie kwa mtazamo wangu naona hizi bank zinanufaisha sana watu wa serikali, lakini sector binafsi kupata mkopo ni shiiida
 
Huo mkopo ulikuwa kwa muda gani.. Kumbuka asilimia 20 ni kwa mwaka ina maana ukilipa kwa miaka mitano ni karibia asilimia 100
 
Kwa maoni yangu wakopaji wengi huwa hawajipangi kabla ya kuomba mkopo na hivyo kutaka kulazimisha kupanda mkopo wa haraka kitendo kinachopelekea uhitaji wa kukiukwa kwa vigezo flani ili wapate hiyo mikopo kwa mfano,unapotaka kuagizza gari japani mkononi ukawa na uwezo wa kuifikisha hapa na hela ya ushuru huna unatakiwa kujipanga additional cost utapata wapi na hapi ndo unatakiwa uanze taratibu za kukopa contrary mtu anasubiri hadi apate makisio ya kodi gari ikiwa bandarini anaanza kuhaha ili akwepe storage hapo lazima utashawishi mazingira ya rushwa.
Kwa upande wa wafanyabiashara hasa wadogo na wa kati asilimia 80 au zaidi hawatunzi mahesabu yao na kukaguliwa na wakaguzi wa mahesabu, kinachofanyika mtu anachakachua mwanzo mwisho,na kwa kua kwenye mabenki kuna system za kuverify hizo financials mfanyabiashara anajikuta tayari kwenye mazingira ya rushwa
Mwisho security zinakua over estimated kwa mfano mtu anaeza kua nq kiwanja chenye kibanfa kidogo tuu valuers wanamuandikia labda bilioni mbili tofauti na market price so anajikuta jatika mazingira ya rushwa.
My take is if you are perfect you will never bribe for a loan and if you can prove kuombwa rushwa bank inaweza kunyanganywa leseni if the case gors through BOT
 
mie kwa mtazamo wangu naona hizi bank zinanufaisha sana watu wa serikali, lakini sector binafsi kupata mkopo ni shiiida

Tatzo la private sector defaultets ni wengi na inawia vigumu sana kwenye collections na uzuri wa bank zote sikuiz ukiwa defaulter kila bank wanakuwa na taarifa na wewe so ni vigumu kukupa mkopo. Kwa serikalini kwakuwa mwajiri ni permanent anajulikana ni vigumu kukwepa madeni na ukikwepa ni rahisi kupatikana ukiangalia loss nyingi zinazotokana na mikopo kwenye bank mbalimbali zinatokana na Self employed na private sector ndo maana inachukua muda sana kwa bank kuwa na mkataba na private office
 
Kama huyo rafiki yangu ni mwajiriwa wa serikali ila jamaa walimzungusha sana
 
Back
Top Bottom