Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
nenda NBC/CBA wanashika watu milangoni wakakope
pili usiombe mkopo wakati unashida utatukana watu wote bank
tatu kukopa ni porcess anaza na mkopo mdogo ukijenga profile yako wajuwe una kopesheka
nne, sheria na mashariti ya mikopo ni ile ile kwa bank zote, procedure za kukupa huo mkopo ndio zaweza differ
mie kwa mtazamo wangu naona hizi bank zinanufaisha sana watu wa serikali, lakini sector binafsi kupata mkopo ni shiiida