daniel agrey Member Joined Jul 23, 2017 Posts 96 Reaction score 345 Oct 26, 2017 #1 Habari zenu wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana nisiye na ajira ila nimepanga kuanzisha biashara nahitaji mkopo wa 2 million ni taasisi gani riba zao ni nafuu msaada tafadhari au mtu anayeweza kunikopesha anipm kwa maelewano
Habari zenu wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana nisiye na ajira ila nimepanga kuanzisha biashara nahitaji mkopo wa 2 million ni taasisi gani riba zao ni nafuu msaada tafadhari au mtu anayeweza kunikopesha anipm kwa maelewano
D2050 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 1,919 Reaction score 1,094 Oct 26, 2017 #2 Mikopo mingi ya benki hapa tz wanakopesha mfanyabiashara ambaye anabiashara kabisa aliyeianzisha kwanza.
Mikopo mingi ya benki hapa tz wanakopesha mfanyabiashara ambaye anabiashara kabisa aliyeianzisha kwanza.