daniel agrey
Member
- Jul 23, 2017
- 96
- 345
Habari zenu wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana nisiye na ajira ila nimepanga kuanzisha biashara nahitaji mkopo wa 2 million ni taasisi gani riba zao ni nafuu msaada tafadhari au mtu anayeweza kunikopesha anipm kwa maelewano