Mkopo wa elimu ya juu kwa wale wa diloma bado ni tatizo.

Mkopo wa elimu ya juu kwa wale wa diloma bado ni tatizo.

SINGLE MAN

Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
38
Reaction score
6
Jamani inaniuma kweli kukosa mkopo awamu ya pili tena. Sijui nifanye nini, nisaidieni jamani?
 
pole aisee, sasa ndo imeshatokea, tafuta other means,
there's always a way, wamebana huko tafuta kwingine, mikopo nasikia inatolewa na ma saccos ulizia hata bank na wengineyo, kuna namna za kupata loans apart from heslb, ukikosa pote bado usife moyo, tafuta tu.
all ze best
 
pole aisee, sasa ndo imeshatokea, tafuta other means,
there's always a way, wamebana huko tafuta kwingine, mikopo nasikia inatolewa na ma saccos ulizia hata bank na wengineyo, kuna namna za kupata loans apart from heslb, ukikosa pote bado usife moyo, tafuta tu.
all ze best
Thanks mdau
 
Msife moyo km kweli ulifunga na kumuomba walao siku mbili tatu hv na umetoka kapa ! Bc jua mpango wa mungu kwako ni mkubwa sana tena sana kuliko hata walopata mkopo ndg! Pili mkumbuke kuwa mawazo ya mungu sio sawa na mawazo ya mwanadamu huwez jua km ungepata mkopo kingetokea nini, tarajia kitu kigeni kabisa apangacho mungu juu yako hasa wakati huu mgumu unapowaza. tatu kumbuka kwamba mungu hutoa majibu pale akili yako inapofikia kikomo au mwisho kabisa kufikili au pale unaposhndwa kabisa kuwa ufanye nini ndo mungu anapojibu na kukuambia au kukuonyesha cha kufanya ili ujue kuwa yeye c mwanadamu afikili km unavofikil au unavotaka iwe.! Tatu, tatizo letu wanadamu tukishaona pakutokea pamekosa tunaamua kufa moyo mana hamna akil nyingne au namna nyingne ya kufaulu, ikumbukwe kwamba mungu mwenyewe alisema tusiwategemee wanadamu mana tutakufa masikin! Ndg zangu tuliokosa mkopo kuna vifo masikin vya aina nyingi endapo akili na mawazo yetu yatahamia kwenye boom chuon,hela za field, %za ada na mengneyo, ni kweli tunahtaji vyote hv lakin ebu tujiulize kwanin tukose wengne wapate? Kidini na maisha ya kiroho na kwa m2 anae mjua mungu vizuri kwake ni fraha tosha mana tayari anajua na kuamin kua mungu anaelekea kumtendea jambo zuri na la faida sana kuliko hata hii loan atakayopata dunian hapa. Pia ikumbukwe kuwa mungu ameahd kutubarik dunian, mbingun, nyumban, mjin, kijijin nk. NINI SASA LENGO LA MUNGU KWA MWANAFUNZ KUKOSA MkOPO??
kuna maswali meng sana ya kujiuliza lkn jib ni moja tu, mungu anataka aone je upendo wako kwake ni kiasi gani? Na je ni %ngapi? Jiulize swali hl kwanini wanafunz weng wakipata mkopo wengne humshukul mungu lakin wengne pia wakikosa hushukul pia. Na kuna wengne hasa cc tuliokosa kushukul ni mtihan? OMBI!! mungu anataka m2 aliye tayari na co m2 anaemjua na kumwabudu. So km umekosa mkopo shukulu mungu hata japo kwa sala ya kimyakimya kisha uone mlango unavofunguka na chuo utasoma na malengo yako yatatimia ila! Uculize fedha zitatoka wapii? Karibu maon!!
 
Ahsante mkuu najua pole sana ni tungo tata lakin kuna ujumbe ndani yake tutaufanyia kaz.
 
Mshukuru MUNGU hata unayo diploma ambayo unaweza kujitafutia kazi na kuajiriwa ukapata hata ada nusu au yote ukajilipia hapo baadae kuliko wenzako fresh from school ambao hawana hata elimu uliyonayo kwa sasa!!
 
Back
Top Bottom