Mkopo wa haraka kwa title deed

Mkopo wa haraka kwa title deed

Amina membe

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Habari wana jf. Nahitaj mkopo wa mil 3 kwa thamana ya kiwanja title deed Bunju B na hati ya mauzo ya shamba heka 1.5 liko mailmoja. Kurudisha ndan ya miez 2. Namba zangu 0656573552,0762462687
 
Ungekuwa na kibishara hata kidogo unepata hiyo hela nmb au akiba bank fasta
 
Ni dharura dear. Kuna mzigo naenda chukua. Mie nasafirisha mkoani. Karunzi tuwasiliane kwa simu nakuomba.
 
Back
Top Bottom