MKOPO wa haraka UNAHITAJIKA

MKOPO wa haraka UNAHITAJIKA

Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,803
Reaction score
175
Salaam,

Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa yeyote iwapo tutakubaliana masharti.
1. Kiwango kinachohitajika ni10m.
2. Dhamana ni nyumba, ipo jijini Mwanza.
3. Muda wa urejeshaji uwe ni miezi 3, iwapo tutakubaliana.

Kwa yeyote aonaye anayofursa kukopeshana kwa dhamana tajwa hapo juu, basi usisite kuwasiliana name kwa PM ili tusaidiane.

Ahsanteni.


Mpevu.
 
Back
Top Bottom