jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,012 Jun 15, 2016 #1 Wakuu nimepatwa na dharura ya kibiashara,ninahitaji mkopo wa haraka wa tsh 500,000/=marejesho ni baada ya mwezi mmoja. Dhamana na riba nimakubaliano kati yangu na mtoa mkopo. Kwa mwenye nao tunaweza kuwasiliana kwa pm. Shukrani.
Wakuu nimepatwa na dharura ya kibiashara,ninahitaji mkopo wa haraka wa tsh 500,000/=marejesho ni baada ya mwezi mmoja. Dhamana na riba nimakubaliano kati yangu na mtoa mkopo. Kwa mwenye nao tunaweza kuwasiliana kwa pm. Shukrani.