Mkopo wa haraka wa Tsh 500,000/=

Mkopo wa haraka wa Tsh 500,000/=

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,012
Wakuu nimepatwa na dharura ya kibiashara,ninahitaji mkopo wa haraka wa tsh 500,000/=marejesho ni baada ya mwezi mmoja.
Dhamana na riba nimakubaliano kati yangu na mtoa mkopo.
Kwa mwenye nao tunaweza kuwasiliana kwa pm.
Shukrani.
 
Back
Top Bottom