Mama Naa
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 453
- 1,104
Habari yenu wana jamvi.
Kuna mikopo ambayo huwa inatolewa na serikali kupitia hazina Kila mwaka kwenye halmashauri zetu.
Sasa nimefukuzia huo mkopo Miaka 3 sasa bila mafanikio hata sijui huwa nakosea wapi!! mara ya mwisho nimeomba mwaka huu majibu yao kwenye mfumo ni REJECTED....na hapo baada ya kuwapigia maHR ndio wametoa majibu.
Nimeanza hata kuichukia serikali maana naona inafanya upendeleo, nimefatilia Halmashauri watumishi 99.9% Wana huo mkopo na huko wizarani watu kibao wanapata huo mkopo wakiwemo Wakurugenzi na Makatibu wakuu ila Huku chini kupata ni mbinde kweli.
BOT na HAZINA embu tendeni haki bana miaka 3 sasa mimi ni rejected tu na hiki ki sms chenu.
Your loan application was rejected, Please Login into Hazina Portal for more clarifications.
Hiyo mikopo miaka 3 mfululizo mnawapa akina nani kama sisi Kila mwaka rejected.
FIFO bado kwenu haifanyi kazi.
Hazina tendeni haki bana kama hiyo mikopo ni kwa ajili yenu peaneni huko huko kimya kimya. Imeniuma sana. !!
Ahsanteni.